Mwanamuziki Roberto Amarula Kutumbuiza Dar na Dodoma

Mwanamuziki na mtangazaji wa redio, Roberto Chindaba Banda ‘maarufu Roberto Amarula kutoka nchini Zambia (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu onyesho lake atakalolifanya leo  katikka fukwe za Escape One Mikocheni jijini Dar es Salaam na kesho ukumbi wa Ngalawa Pub mkoani Dodoma katika Tamasha la Instagram Party Dodoma. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa …

Instagram Party Kufanyika Escape One Jumamosi

  Mkurugenzi wa Freconic ideaz, Fred Ngimba.  Wanahabari wakichukua taarifa hiyo. wanahabari wakiwa kwenye mkutano huo.   Na Dotto Mwaibale   KAMPUNI ya Freconic Ideaz, imeandaa tamasha la burudani la ‘Instagram party’ litakalofanyika kesho kutwa kwenye Ukumbi wa Escape One Mikocheni jijini  Dar es Salaam likiwa na lengo la kuwakumbusha wapenzi wa muziki, mavazi na misemo ya kizamani.   Akizungumza Dar …

Instagram Party Mwanza…!

INSTAGRAM PARTY MWANZA FreconicIdeaz was pleased to organize Quarterly Party Event, which was held on October 4th, 2014 from 7:00 p.m. until 4:00 a.m. at Jembe ni Jembe aka Jembe Beach Mwanza. The nights includes Live Musical Performances, dancing, meet and greets your fans and followers, etc. FeaturedLive performances by: Wakazi, Ben Paul, Stereo and Songa Featured music by DjVasley …