Wanawake Wapewa Vyoo 108 vya Msaada India

KIKUNDI kimoja cha kujitolea nchini India kimegawa vyoo 108 bure katika Kijiji cha Katra Sahadatganj ambako wasichana watatu waliuawa kwa kunyongwa katika miti mwezi Mei mwaka 2014 wakitafuta sehemu ya kujisaidia porini. Mei 2014 wasicha watatu ndugu waliuwa katika eneo la Katra Sahadatganj huko Uttar Pradesh wakati walipokwenda kujisaidia porini. Wanaharakati waliliona hilo la uhaba wa vyoo ambalo liliwalazimu wasicha …