Programu ya IFAD Tanzania Yafanikiwa

 Waziri wa Kilim, Chakula na Ushirika Tanzania Bara, Mh Steven Wassira akisoma hotuba fupi wakati wa warsha ya siku moja iliyolenga kuonyesha mafanikio ya programu ya IFAD nchini Tanzania, warsha iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwl Nyerere Januari 29, 2014 jijini Dar. Waziri wa Kilimo na Maliasili wa Zanzibar, Mh Sira Ubwa Mamboya akizungumza wakati wa warsha …