Kata ya Mabwepande Dar Walia Zahanati Yao Kufungwa

   Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Kata ya Mabwepande, Abdallah Kunja, akizungumza na mwandishi wa mtandao huu kuhusu changamoto mbalimbali pamoja na kufungwa kwa zahanati hiyo. Dotto Mwaibale   WAKAZI wa Kata ya Mabwepande Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam wameiomba manispaa hiyo kuifungua zahanati yao iliyofungwa kwa muda mrefu ili waondokane na adha ya kufuata huduma za afya …

Waziri Ummy Mwalimu Akemea Madaktari na Wauguzi Kushambuliwa

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akemea vikali tabia inayojengeka ndani ya jamii ya kuwashambulia watumishi wa afya hasa Madaktari na Wauguzi maeneo mbalimbali. Waziri Ummy Mwalimu amevitaka vyombo ya dola kuwachukulia hatua wananchi wanaojihusisha na vitendo hivi ambavyo vitaathiri utoaji wa huduma za afya kwa wananchi hasa wa kipato cha chini. Ummy amewasili …