Kero ya Upatikanaji Maji Inavyowakera Akinamama Wilaya ya Kishapu

    Wakati nchi ya Tanzania ikiadhimisha wiki ya maji, imeelezwa kuwa wanawake wengi wilayani Kishapu mkoani Shinyanga wamekuwa wakitumia muda mwingi kutafuta maji hivyo kushindwa kushiriki katika shughuli za maendeleo kikamilifu. Wanawake hao wamekuwa wakitumia muda wao mwingi kutafuta maji katika mto Tungu unaotenganisha wilaya ya Kishapu na Maswa mkoa wa Simiyu kabla na baada ya Uhuru wa Tanganyika …

Kampuni ya Bia Serengeti Yawapati Watanzania Mil. 2 Maji Safi na Salama

   Mkurugenzi wa Mahusiano wa SBL, John Wanyancha akitoa ufafanuzi  kwa  waandishi wa habari kuhusu mradi wa maji ulioweza kuwafikia watanzania milioni 2 katika programu ya hisani ya kusaidia jamii inayoendeshwa na kampuni hiyo  inayolenga kuboresha maisha katika mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika mapema jana  katika hoteli ya Morena Mkoani Dodoma.     Waandishi wa habari wa mkoani Dodoma wakichukua …