Elimu Mtandao Kuboresha Huduma za Wajawazito Yazinduliwa

WORLD Lung Foundation (WLF) Tanzania imezindua mradi wa elimu kwa njia ya mtandao katika hatua mpya ya kusaidia kuboresha ubora wa huduma za wajawazito pamoja na akina mama na watoto wao. Mradi huu wa Mawasiliano umefadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Sweden (Swedish International Development Cooperation, (Sida)) na Shirika la Merck For Mothers. Mradi huu upo katika vituo vya afya …