Magreth Kinabo, Maelezo SERIKALI imesema itaangalia upya mikataba iliyopo ya vifaa vya maabara vilivyoko katika hospitali, zahati na vituo vya afya nchini ambavyo havifanyi kazi ili kama ni jipu litumbuliwe na wahusika wachukuliwa hatua. Kauli hiyo ilitolewa Februari 16, 2016 na Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla mara baada ya …
NSSF Yatoa Huduma za Afya Bure Maonesho ya Sabasaba
Na Mwandishi Wetu SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) linatoa huduma za afya bure kwa wateja mbalimbali watakaotembelea katika Banda la shirika hilo ndani ya Maonesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba yanayofanyika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi leo Dar es Salaam ndani ya …