Hotuba ya Rais Kikwete ya Mwezi Februari 2015

HOTUBA YA MWISHO WA MWEZI FEBRUARI, 2015, YA MHESHIMIWA DK. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, ILIYOTOLEWA TAREHE 1 MACHI, 2015 Utangulizi Ndugu Wananchi; Kama ilivyo ada tunamshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kutuwezesha kuzungumza kupitia utaratibu wetu huu mzuri wa hotuba za kila mwisho wa mwezi. Kwa mwisho wa mwezi wa Februari nina mambo …