Mambo Muhimu ya Kuzingatia Unapokwenda Kutoa Hotuba…!

Ndugu zangu, MADA kuhusu sanaa ya kuzungumza mbele ya hadhara imevuta wengi. Bila shaka, sababu kuu ni ukweli, wengi tunapata tabu sana kila tunapotakiwa kuongea hadharani. Kwa vile hata waliozaliwa na vipaji vya kuongea hadharani na kuvuta watu wanahitaji kujifunza zaidi, basi, hata asiye na kipaji, anaweza kujifunza na akawa mzungumzaji mzuri mwenye kuvutia hadhira yake. Leo nitazungumzia kile kilicho …

Hotuba ya Rais Kikwete Akizungumza na Wazee Mkoa wa Dodoma

HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, KWA WANANCHI, WAKATI WA MAJUMUISHO YA MKOA WA DODOMA, DODOMA TAREHE 04 SEPTEMBA, 2014 Utangulizi Mheshimiwa Dkt. Rehema Nchimbi, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma; Waheshimiwa Mawaziri; Waheshimiwa Wakuu wa Wilaya, Wabunge, Wenyeviti na Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya na Miji; Waheshimwa Madiwani; Wazee Wangu; Ndugu wananchi; Kuna …