Mbowe Alazwa Muhimbili, Azungumza na Waandishi Hospitalini

Na Mwandishi Wetu MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, kitengo cha moyo baada ya kuugua gafla akiwa kwenye msafara wa mgombea wa urais kupitia Chama hicho, Edward Lowassa na kukimbizwa hospitalini. Akizungumza na waandishi wa habari leo akiwa Hospitali ya Muhimbili ya jijini Dar es Salaam Mbowe alisema anaendelea …