DC Makunga Katika Ziara Hospitali ya Rufaa KCMC

Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Novatus Makunga alipofanya kikao na viongozi wa hospitali ya rufaa ya KCMC ya mkoani Kilimanjaro. Mkurugenzi Mkuu wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC, Dk. Giliard Masenga (kulia) akitoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali yanayotajwa kuwa changamoto kwa Mkuu wa wilaya ya Moshi, Novatus Makunga alipotembelea hospitalini hapo.   Baadhi ya wakuu wa idara waliongozana na mkuu …

Dk. Mengi Agharamia Ukarabati Ngazi Kuu za Hospitali ya KCMC

Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dk. Reginald Mengi akiwa ameongozana na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Dk. Geleard Masenga wakati alipowasili katika ofisi ya Mkurugenzi  huyo mwishoni mwa wiki.  Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dk. Reginald Mengi akisalimiana na Askofu mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheria (KKKT) Tanzania, Dk. Fredrick Shoo alipowasili katika ofisi ya Mkurugenzi …