Dk Kigwangalla Aipandisha Hadhi Zahanati ya Msoga Kuwa ya Wilaya

  SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeipa hadhi ya kuwa Hospitali Wilaya iliyokuwa Zahanati ya Msoga ambayo tayari imekamilisha jengo lake jipya la Hospitali hiyo inayotarajia kuanza kuanzia Mwezi Aprili mwaka huu. Akitoa maagizo hayo baada ya ukaguzi wa timu ya wataalam kutoka Wizara hiyo ya Afya pamoja na Naibu Waziri wa Afya, Ustawi …

Dk Kingwangalla Aipa Hospitali ya Kanda Siku 60 Kununua CT-Scan

NAIBU Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kingwangalla amefanya ziara, Februari 12, 2016 katika Hospitali ya Kanda ya Rufaa ya Nyanda za juu kusini- Mbeya, na kutoa maagizo mbalimbali ikiwemo upatikanaji wa mashine CT-Scan ndani ya siku 60 huku akibainisha kuwa endapo watazembea basi watawachukulia hatua kali na kuwajibishwa watendaji na uongozi …

Madaktari Hospitali ya Wanawake na Watoto Australia Waitamani Tanzania

Na Mwandishi wetu – Canberra, Australia WAFANYAKAZI wa Hospitali ya wanawake na watoto ya Centenary ya mjini Canberra wameonyesha nia ya kufanya kazi nchini Tanzania ili kumuunga mkono Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete katika juhudi zake za kupunguza vifo vya kina mama wajawazito na watoto. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji anayeshughulikia afya za wanawake, vijana na watoto wa Hospitali …

Apollo Wavuna Viungo 23 vya Binadamu Waliojitolea

KAMA watoa huduma za afya wanaoongoza barani Asia Hospitali za Apollo zimekuwa maarufu na kukubalika kwa mafanikio yake kitabibu na kujitoa kwake katika kuboresha maisha ya watu. Katika hali ambayo hutokea mara chache kati ya wataalamu wa utabibu Apollo waliendesha zoezi la upandikizaji wa viungo kwa kipindi cha siku moja. Matukio yaliyofanyika tarehe 4 Mei 2015 chini ya Hospital kuu …

Wagonjwa Walazwa Chini Hospitali ya Temeke!

Bango la hospitali ya Temeke, linalo onyesha utaratibu wa kuona wagonjwa kama lilivyonaswa na Mpiga picha wetu. Ndugu ambaye hakufahamika jina lake, akiongea na mgonjwa wake, ambaye amelazimika kulala chini ndani ya wodi namba 4 kwenye hospitali hiyo ya rufaa ya mkoa wa Temeke. Uchunguzi wetu uligundua kwamba, hospitali hizi zimepandishwa hadhi mwaka jana na kuwa hospitali za rufaa za …