Rais Kikwete Ziarani Nchini Namibia

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amewasili nchini Namibia, Machi 20, 2015 kwa ziara ya siku tatu nchini humo ambako atahudhuria sherehe mbili kubwa na muhimu kwa taifa la Namibia. Rais Kikwete na ujumbe wake amewasili kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Hosea Kutako mjini Windhoek kiasi cha saa 12 jioni kwa saa za Namibia …