Wanafunzi Chuo Kikuu SMMUCo Watembelea Hifadhi ya Ngorongoro

  Simba dume  akiwa anaunguruma     Na Dickson Mulashani, Ngorongoro   SUALA la utalii wa ndani limeonekana kupata mashiko baada ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Stefano Moshi Memorial University College (SMMUCo) kuhamsika na kuamua kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro ili kujionea vivutio vya kipekee vinavyopatikana humo. Akizungumzia safari hiyo mmoja wa wanafunzi hao Emmanuel Kalenzi amesema waliguswa kupanga ziara hiyo kuunga mkono …