UNDP Yashauri Serikali Itumie Gesi Kulinda Hifadhi ya Jamii

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,na Mwenyekiti wa mkutano mkubwa wa kimataifa wa hifadhi ya jamii ulioandaliwa na serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Fedha, Aggrey Mwanri, akiendesha shughuli za mkutano huo uliomalizika hivi karibuni katika kituo cha kimataifa cha mikutano cha Arusha (AICC). MTAALAMU mmoja wa masuala ya uchumi anayefanyakazi na Shirika …

Waziri wa Fedha Afunga Kongamano la Hifadhi ya Jamii

Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akitoa hotuba ya kufunga kongamano la Kimataifa la siku tatu kuhusu hifadhi ya Jamii lililoanza Disemba 15-17, 2014 jijini Arusha.(Picha zote na Eleuteri Mangi- Arusha). Na Mwandishi Wetu, Arusha SERIKALI ya Tanzania  imeridhia azimio la arusha kuhusi hifadhi ya jamii  nchini Tanzania na kusema litatumika kama dira katika kunemeesha watanzania. Azimio hilo ambalo limetoka …

Mkutano wa Kimataifa wa Hifadhi ya Jamii

Naibu  Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk Pindi Chana (kulia) akizungumza katika mkutano wa siku tatu wa kimataifa unaohusu hifadhi ya jamii unaotarajiwa kumalizika leo jijini Arusha. Katikati ni Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Mhe. Dkt. Kebwe Stephen Kebwe na kushoto ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima. Na …