Miundombinu Hifadhi ya Kitulo Kuboreshwa

Na Edwin Moshi, Makete HIFADHI ya taifa ya Kitulo iliyopo wilayani Makete mkoani Njombe imejipanga vilivyo kuongeza vivutio vipya vya utalii hifadhini humo pamoja na kuboresha miundombinu ya barabara na njia za kupita watalii ili wafurahie vivutio vilivyopo hifadhini humo.  Akizungumza mbele ya Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Makete iliyofanya ziara hifadhini humo, Kaimu Mkuu wa Hifadhi ya …