Helikopta Yaanguka Dar na Kuua Wanne

HELIKOPTA iliyokuwa na watu wanne imeanguka eneo la Moshi Bar jirani na Sukuma Land Bar Ukonga na kuua abiria wote. Taarifa za awali zinasema Helikopta hiyo ilikuwa ya Wizara ya Maliasili na Utalii imegharimu maisha ya marubani 3 wote wa Jeshi la Polisi Tanzania. SP Kidai Kaluse, Insp. Simba Must Simba, PC. Josso Selestine, na Capt. Khalfan. Chanzo cha ajali …