KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue amekutana na vyombo vya habari na kuonesha kwa waandishi wa habari hati halisi ya Muungano Ikulu jijini Dar es Salaam ikiwa ni siku chache tangu baadhi ya wabunge wa Bunge la Katiba kudai hati hiyo iwasilishwe mjini Dodoma. Ifuatayo ni kauli ya kiongozi huyo mbele ya waandishi wa habari; TAMKO LA KATIBU MKUU KIONGOZI …