Miss Tanzania 2014 Azungumzia Umri Wake, Lundenga Ajitoa..!

KIZUNGUMKUTI kilichotanda tangu kutangazwa kwa mshindi wa taji la Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Zuberi Mtemvu leo kimeingia katika utata zaidi baada ya mlimbwende huyo kujitokeza pamoja mwandaaji wa shindano hilo, Hasheem Lundenga kuzungumzia tuhuma zinazoendelea. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Sitti alisema yeye ana umri wa miaka 23 na cheti chake cha kuzaliwa kilipotea …