Harusi ya John Focus na Bi. Bernadetha Munishi Ilivyofana

      Bwana harusi, John Focus Lyimo (wa pili kushoto) akimtambulisha mkewe Bi. Bernadetha Munishi (wa pili kulia) kwa wageni waalikwa kwenye hafla kabambe ya harusi yao iliyofanyika Ukumbi wa ‘Mwenge Social Hall’ jana jijini Dar es Salaam. Waliokaa ni wapambe wa maharusi.                                

Hatimaye Bwanaharusi Aliyekimbia Ndoa Kanisani Arejea na Kufunga

  HATIMAYE lile tukio lililovuta hisia za watu wengi la bibi harusi, Given Mgaya, kukimbiwa kanisani na mchumba wake siku ya harusi, limepatiwa jibu baada ya bwana harusi , Samwel Mwakalobo, kujirudi na kuamua kutimiza ahadi yake ya kufunga ndoa.   Ndoa hiyo imefungwa leo  majira ya saa tisa Desemba 23  katika Kanisa la (K.K.K.T) Usharika wa Isanga na kufungishwa na Mchungaji, Mathias …

Je, Wajua Viapo Vya Ndoa Havitekelezeki..!

AHADI ya kuwa pamoja maishani katika shida na raha, taabu na shida viapo hivi ama ahadi hizi zinaonekana kuchukuliwa kirahisi mno na wanandoa wapya, lakini kwa muujibu wa utafiti mpya uliotolewa hivi karibuni unathibitisha kuwa ni rahisi mno kutamka kuliko utekelezaji wa viapo vyenyewe. Mtafiti uliofanywa kwa wanandoa wenye bahati 2,700 waliooana umegundua kwamba, ikiwa mwanamke katika ndoa hiyo ataugua …

Je, Wazijua Harusi Zinazofanyika Ndani ya Maji…!

  Juu ni picha mbalimbali za maharusi wakionekana wakiwa ndani ya maji wakifunga ndoa zao kwa mbwembwe anuai.    Juu ni picha mbalimbali za maharusi wakionekana wakiwa ndani ya maji wakifunga ndoa zao kwa mbwembwe anuai.    Juu ni picha mbalimbali za maharusi wakionekana wakiwa ndani ya maji wakifunga ndoa zao kwa mbwembwe anuai.    Juu ni picha mbalimbali za …