Ajali Lori Yazua Moto, Wateketeza Maduka, Magari

TAARIFA zilizotufikia zinasema kuna ajali imetokea maeneo ya Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, ambapo Lori la mafuta limegonga nguzo ya umeme kabla ya kuzua moto mkubwa ambao umeteketeza takribani maduka saba na magari eneo hilo. Taarifa zaidi zinasema ajali hiyo imetokea maeneo ya Kivesa, karibu na duka la John Shayo ambapo Lori hilo liligonga nguzo ya umeme na kupinduka kabla …

Tamasha la Handeni Kwetu Lawalilia Wadhamini

  Na Mwandishi Wetu, Handeni WADAU wa mambo ya utamaduni yakiwamo mashirika, makampuni na watu mbalimbali wameombwa kujitokeza kuliwezesha tamasha la Handeni Kwetu 2014, lililopangwa kufanyika Desemba 13 mwaka huu wilayani Handeni, mkoani Tanga. Tamasha hilo linafanyika huku mwaka jana likiwezeshwa kwa kiasi kikubwa na Shirika la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa ushirikiano na wadau mbalimbali walioliwezesha tamasha …

Tamasha la Handeni Kwetu Kufanyika Desemba 13

Na Mwandishi Wetu, Dar TAMASHA kubwa la umataduni linalojulikana kama ‘Handeni Kwetu’ limepangwa kufanyika Desemba 13 mwaka huu, katika Uwanja wa Azimio, wilayani Handeni, mkoani Tanga. Katika tamasha hilo linalofanyika kwa mara pili, burudani mbalimbali za ngoma za asili zinatarajiwa kuonekana jukwaani, ambapo pia vikundi kutoka nje ya Handeni, mkoani Tanga navyo vitaalikwa kwa ajili ya kwenda kutoa burudani wilayani …