Kampuni ya Halotel Yatoa Mkono wa Eid kwa Vituo 10 vya Yatima Dar

            KAMPUNI ya Simu za Mkononi ya Halotel imetoa msaada wa vyakula, mbuzi na mafuta ya kupikia kwa vituo 10 vya Watoto Yatima na wanaoishi katika mazingira magumu jijini Dar es Salaam, ikiwa ni mkono wa Siku Kuu ya Eid Mubarak itakayoanza kusherehekewa kesho na waumini wa Kiislamu. Akikabidhi zawadi hizo Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa …

Kampuni ya Simu ya Halotel Yashusha Neema kwa Wateja Wake

    KAMPUNI ya mawasiliano ya simu ya Halotel, imezindua kampeni mpya ya Switch to Halotel, yenye lengo la kuwahamasisha Watanzania kujiunga na Mtandao huo sambamba na kuzindua utaratibu wa wafanyakazi wa kampuni hiyo kuwatembelea wateja wa Mtandao huo katika maeneo yote nchi nzima mjini na vijijini. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kampeni hiyo iliyofanyika katika soko la Makumbusho lililoko …

HaloPesa, Selcom Kupanua Wigo wa Huduma za Kifedha

    KATIKA kufanikisha azma ya kupanua wigo wa huduma za kifedha kwa wananchi wenye vipato tofauti, kampuni ya mawasiliano ya Halotel imeendelea kuunganisha huduma yake ya Halopesa na huduma nyingine zaidi ili kuendelea kurahisisha upatikanaji wa huduma za kifedha kwa Watanzania. Katika kulifanikisha hilo Halotel imeingia makubaliano ya mkataba wa utoaji wa huduma na kampuni ya Selcom, ushirikiano utakaowawezesha …

Watanzania Kufanya Miamala ya Kifedha Kupitia Halopesa na NMB

          KATIKA kufanikisha azma ya kupanua wigo wa huduma za kifedha kwa wananchi wenye vipato tofauti, kampuni ya mawasiliano ya Halotel na benki ya NMB zimeingia katika ushirikiano utakao wawezesha mamilioni ya watanzania kunufaika na huduma za kifedha nchi nzima. Hatua hii itawawezesha watanzania wengi zaidi kufikiwa na huduma za kifedha kwa njia ya mtandao ikiwa ni …

Prof Mbarawa Aigeukia Kampuni ya Simu ya Halotel…!

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa ameipa muda mpaka mwishoni mwa mwezi Machi mwaka huu,Kampuni ya mawasiliano ya Halotel iwe imekamilisha Kazi ya kufunga mkongo wa intaneti katika shule tatu za kila wilaya hapa nchini. Pia ameiagiza serikali mkoani Tanga kuifuatilia Kampuni ya mawasiliano ya Halotel kwa saababu imekuika taratibu za mkataba wake na serikali ambao alitakiwa …