CCM Yapata Pigo Kubwa Njombe…!

CHAMA  cha  Mapinduzi (CCM)  Wilaya ya  Ludewa  mkoani  Njombe  kimepata  pigo  kubwa kufuatia  kifo  cha  aliyekuwa  Mjumbe  wa  Halmashauri  Kuu ya Wilaya  hiyo (NEC)  Bi. Elizabeth Haule. Mbali ya  kuwa MNEC  wa  wilaya  hiyo  Haule  pia  alikuwa ni mwenyekiti  wa UVCCM wilaya ya  Ludewa  kabla ya  kujiuzulu kwake mwezi  February mwaka jana baada ya  kuchaguliwa nafasi hiyo ya  NEC na  …