HakiElimu yazindua Mpango Mkakati wa Miaka Mitano 2017-2021

  Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Hakielimu, Martha Qorro (kushoto) na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Katarina Rangnitt (wa pili kulia) wakifungua kitambaa kuashiria uzinduzi wa mpango mkakati wa miaka mitano wa Hakielimu jijini Dar es Salaam. Kulia akishuhudia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hakielimu, John Kalage.   Mkurugenzi Mtendaji wa Hakielimu, John Kalage akizungumza na wageni waalikwa …

HakiElimu Yazinduwa Ripoti ya Miaka 10 ya Serikali ya Kikwete Sekta ya Elimu

TAASISI ya HakiElimu leo imezinduwa ripoti ya Utafiti uliofanywa kuangalia hali ya utekelezaji wa ahadi na utoaji wa elimu hapa nchini katika kipindi cha miaka 10 ya serikali ya Awamu ya Nne iliyoongozwa na Rais mstaafu Jakaya Kikwete. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa utafiti huo, Mkurugenzi Mtendaji wa HakiElimu, John Kalage alisema ripoti iliyozinduliwa imeandaliwa na taasisi hiyo kwa …

HakiElimu Yazinduwa Jopo la Washauri Mabingwa…!

Timu ya Menejimenti ya HakiElimu ikiwa katika picha na Mwenyekiti wa Bodi ya HakiElimu na Mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa jopo la washauri bingwa Wafanyakazi wa Shirika la HakiElimu waliohudhuria uzinduzi katika picha ya pamoja na jopo la washauri bingwa Waliosimama ni Prof. J. Galabawa (kushoto) Prof. Kitila Mkumbo (katikati) na Prof. Elias Jengo (kulia) Waliokaa ni John Kalage (Mkurugenzi wa …

HakiElimu Yakosoa Mpango wa BRN Sekta ya Elimu

Na Joachim Mushi TAASISI ya HakiElimu imeukosoa mpango wa Matokeo Makubwa Sasa ‘Big Results Now’ (BRN) unaotekelezwa na Serikali katika sekta nyeti ikiwemo elimu kwa madai kuwa matokeo yake kwenye sekta ya elimu sio ya kuridhisha. Kauli hiyo imetolewa leo na Kaimu Mkurugenzi wa HakiElimu, Godfrey Boniventura alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam baada ya tathmini …