UNDP Yawezesha Maandalizi Ripoti ya Maendeleo ya Binadamu

  MAANDALIZI ya Ripoti ya pili ya Maendeleo ya Binadamu (THDR) inayotarajiwa kuzinduliwa Juni 2017 yamefikia katika ngazi ya mwisho ya ukusanyaji wa maoni ya kitaalamu katika mada mbalimbali zinazojadiliwa katika ripoti hiyo.  Maandalizi hayo yanayowezeshwa na Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Kijamii (ESRF) kwa msaada wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) na wadau wengine yanafanyika …

Tanzania Hatiani kwa Kukiuka Haki za Binadamu…!

Na Baltazar Nduwayezu, EANA MAHAKAMA ya Afrika kuhusu Haki za Binadamu na za watu (AfCHPR) imeitia hatiani serikali ya Tanzania kwa kukiuka haki za binadamu katika kesi dhidi ya raia wakenya wanaotuhumiwa kuhusika na mauaji na ujambazi wa kutumia silaha. Raia hao kumi wa Kenya waliwasilisha shauri lao Mahakama ya Afrika mwaka 2013, wakilalalmikia ukiukwaji wa haki za binadamu katika …

Tanzania Wapongezwa Kupunguza Vifo vya Wajawazito na Watoto

Na Joachim Mushi, Dar es Salaam TANZANIA inajivunia mafanikio makubwa ya kupunguza idadi ya vifo vya wajawazito pamoja na idadi ya watoto chini ya miaka mitano wanaopoteza maisha kila mwaka. Mafanikio hayo yameifanya Tanzania kutolewa mifano kimataifa ikiwa ni kati ya nchi zilizovuka malengo ya kupunguza idadi hiyo vifo iliyojiwekea kuzifikia. Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Vizara ya …

Jaji Ramadhani Aitaka Afrika Kuzingati Haki za Binadamu

Na Mtuwa Salira, EANA-Arusha RAIS wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR), Jaji Augustino Ramadhani amezitaka nchi za Afrika kuzingatia zaidi masuala ya haki za binadamu kama kweli zinataka kupiga hatua za kiuchumi na kidemokrasia. Akifungua semina ya kuhamasisha mataifa ya Afrika kuiunga mkono mahakama hiyo mjini Addis Ababa, Ethiopia mwishoni mwa wiki, Jaji Ramadhani alisema …