EAC Yatoa Changamoto kwa Waandishi Habari

  Na Mtuwa Salira, EANA, Arusha KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Dk Richard Sezibera ametoa wito kwa waandishi wa habari katika kanda hiyo kuripoti habari chanya juu mwenendo wa mtangamano wa jumuiya hiyo. “Muwe mstari wa mbele katika kuripoti kwa uhakika juu ya mtangamano wa EAC, manufaa yake mengi na fursa za kutosha zilizopo kwa watu wa kanda …