Askofu Charles Gadi Uaskofu Mkuu Makanisa ya Good News for All

Askofu Charles Gadi akitoa historia yake katika ibada yake ya kusimikwa kuwa Askofu Mkuu wa Makanisa ya Good News for All baada ya kusimikwa rasmi katika kanisa hilo la Mapinga Wilayani Bagamoyo mkoani Pwani hivi karibuni. Wazee wa kiroho wa Askofu Gadi wakiwasalimia waumini katika ibada hiyo. Rais wa Makanisa ya Kipentekosti Afrika, Dk. Athar Gitonga (kushoto), akimkabdidhi fimbo ya …