Wilaya ya Rombo Kudhibiti Gongo Ndani ya Miezi Mitatu

Na Yohane Gervas, Rombo SERIKALI wilayani Rombo imesema itahakikisha inadhibiti utengenezaji wa pombe haramu ya gongo ndani ya miezi mitatu kuanzia sasa pamoja na pombe zingine za kienyeji na kulifanya tatizo la utengenezaji wa gongo kuwa historia katika wilaya hiyo. Hayo yameelezwa na Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Lembrice Kipuyo wakati wa operesheni ya kudhibiti utengenezaji wa pombe haramu ya …