Gola Foundation Kuwaondoa Watoto wa Mitaani Arusha…!

  Afisa ustawi wa jamii na Maendeleo ya jamii jijini Arusha  Mwantumu Dossi akitembelea mradi wa shamba la mahindi unaoendeshwa na taasisi ya Gola Foundation jana katika kituo cha Kufikia watoto wa mitaani, katikati ni Mkurugenzi wa shirika hilo  Elisha Maghembe. KURUGENZI wa shirika lisilokua la kiserikali la Gola Foundation, Elisha Maghembe amesema kuwa wameanza zoezi la  kuwaondoa watoto wa mitaani walioko  jijini Arusha na kuwafikisha kwenye …