Na Clarence Nanyaro, Tabora SERIKALI imepanga gharama mbalimbali za upimaji wa ardhi nchini kote kuanzia mwaka ujao wa fedha kwa zaidi ya nusu ili kuwezesha wananchi wengi kupima maeneo yao na kupata hati miliki kupunguza migogoro ya ardhi ambayo imekithiri nchini. Akizungumza na watendaji wa sekta mbalimbali wa mkoa wa Tabora, Waziri wa Ardhi Nyumba na Mendeleo ya Makazi, William …