Kampeni ‘Get Noted’ Kujumuisha Simu, Mitandao ya Kijamii na Matangazo ya Nje

KWA kawaida matangazo ya nje habari huwa na muingiliano wenye kushika hatamu, kuunganisha, matokeo mazuri na ushawishi mkubwa. Hali kadhalika, matangazo ya nje yanapojumuishwa na teknolijia ya kidigitali, mitandao ya kijamii na simu za kiganjani hufanikisha wepesi wa maudhui kufikia wahusika wanapokuwa mbali na makazi yao kwa kuwa njia nyingine sio mbadala kufika huko. Samsung Electronics Tanzania ikishirikiana na Continental …