Hepibethidai Geofrey Adroph wa Pamoja Blogu

LEO ni siku ya kuzaliwa blogger Geofrey Adroph kwa jina maarufu ni PAMOJA BLOG . Maneno yake; “Kwanza kabisa natoa shukrani kwa mwenyezi mungu kwa kunifikisha leo  tarehe 06 mwezi wa 12 maana ndio kumbukumbu yangu ya kuingia duniani. Namshukuru mama yangu mzazi aliyanizaa na kunilea mpaka hapa nilipo ni kwa uwezo wake nampenda sana mama yangu. Nawashuku sana ndugu zangu …