Wanafunzi Feza Schools Washinda Genius Olympiad Kimataifa

Na Joachim Mushi, Dar es Salaam WANAFUNZI sita wa Shule za Feza Tanzania wameshinda mashindano ya taaluma kimataifa ‘Genius Olympiad’ yaliyoshirikisha nchi mbalimbali katika vipengele tofauti na kuzawadiwa medali za dhahabu, shaba pamoja na zawadi mbalimbali. Wakizungumza na waandishi wa habari leo katika moja ya shule za Feza iliyopo Kawe jijini Dar es Salaam Wanafunzi hao kuelezea ushindi wao wameshauri …