UNFPA Watoa Msaada wa Gari la Wagonjwa Masumbwe, Geita

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani(UNFPA) limekabidhi msaada wa gari la wagonjwa lenye thamani ya shilingi milioni 80 katika kituo cha afya cha Masumbwe kilichopo katika Wilaya mpya ya Mbogwe Mkoani Geita. Shirika hilo limetoa vifaa vya kutoa huduma ya upasuaji vyenye thamani ya shilingi milioni 250 katika kituo hicho mbali na kutumia shilingi zaidi ya …

Freeman Mbowe Akabidhi Magari ya wagonjwa Hai

Magari mawili ya kubebea wagonjwa(Ambulance) yaliyotolewa na Mbunge wa jimbo la Hai,Freeman Mbowe yakiwasili katika viwanja vya soko la Kuni kwa ajili ya kukabidhiwa kwa viongozi wa hosptali ya wilaya ya Hai pamoja na hosptali ya Machame inayosimamiwa na kanisa la KKKT. Haya ni maneno yaliyoandikwa katika magari hayo. Mbunge wa jimbo la Hai,Freeman Mbowe akiwa amembeba mtoto mara baada …