Mfumuko wa Bei Desemba ni Asilimia 4.8

Na Aron Msigwa – MAELEZO. MFUMUKO wa Bei wa Taifa kwa mwezi Desemba 2014 umepungua hadi kufikia asilimia 4.8 kutoka asilimia 5.8 iliyokuwepo mwezi Novemba kutokana na kupungua kwa bei ya bidhaa na huduma katika maeneo mbalimbali nchini. Akitoa taarifa ya Mfumuko wa Bei wa Taifa leo jijini Dar es salaam, Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii wa Ofisi …

Mfumuko wa Bei Wapungu Mwezi Juni

Na Aron Msigwa – MAELEZO   OFISI ya Taifa ya Takwimu imeeleza kuwa mfumuko wa bei nchini kwa mwezi Juni 2014 umepungua ikilinganishwa na mwezi uliopita kutokana na kupungua kwa bei ya bidhaa na huduma za jamii katika maeneo mbalimbali.   Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii na sensa ya Watu na Makazi, …