Friends Rangers Kujipima na Ndanda FC ya Mtwara

Mwandishi Wetu KIKOSI cha timu ya Friends Rangers, kesho kinajitupa kwenye Uwanja wa Makurumla, Magomeni Mwembechai, kuvaana na timu ya Ndanda FC ya Mtwara, katika mchezo wa kirafiki wa kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Daraja la Kwanza. Ofisa habari wa timu hiyo Asha Kigundula, alisema kikosi hicho kinashuka dimbani ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mzunguko wa pili …

Friends Rangers Kuivaa Majimaji ya Songea Dar

Mwandishi Wetu KIKOSI cha timu ya Friends Rangers, kesho kinajitupa kwenye Uwanja wa Karume kuvaa na timu ya Majimaji ya Songea, katika mchezo wa Ligi Daraja la kwanza. Akizungumza Dar es Salaam jana, Ofisa Habari wa timu hiyo Asha Kigundula, alisema kuwa wanatarajia kupata upinzani mkali kutoka katika timu hiyo ambayo mpaka sasa ndiyo inaongoza ligi, wakati wao wakishika nafasi ya …