Leo ni Leo, Je Manchester United Wataweza Kulipiza Kisasi?

Manchester City wananafasi ya kuonyesha kuwa wanastahili kuutwaa ubingwa wa ligi kuu ya Uingereza na kuziba nafasi iliyopo kati yao na Chelsea. Manchester United walichapwa 4-1 ndani ya Etihad stadium hapo mwezi wa tisa mwaka jana wakati ambapo David Moyes ndio alikuwa anaanza anza kuifundisha Man United, na presha imekuwa ikiongezeka kila siku kwa miezi sita iliyopita. Mpaka sasa zimebaki …