Balozi wa PSPF, Flaviana Matata Atoa Semina Mwanza

 Balozi wa PSPF, Bi. Flaviana Matata akitoa elimu kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu (hawapo pichani) jijini Mwanza. Baadhi ya wanafunzi wakisoma vipeperushi vyenye taarifa kuhusu Mfuko wa PSPF wakati wa semina juu ya Mfuko huo iliyotolewa na Balozi wa PSPF, Bi. Flaviana Matata hivi karibuni. Mmoja wa wanafunzi waliohudhuria semina juu ya Mfuko huo iliyotolewa na Balozi wa PSPF, Bi. Flaviana Matata hivi …

Taasisi ya Flaviana Matata Yasaidia Watoto 3000

TAASISI ya Flaviana Matata (FMF) ya Mwanamitindo Flaviana Matata aishie New York, Nchini Marekani.   Mwaka jana ilisaidia watoto 3000 kwa kuwapa vifaa vya kujifunzia. Mwaka huu itaendelea kuwasaidia Watoto hao hao wakati inaangalia namna ya kutatua matatizo mengine yanayozikabili Shule hizo ili kuboresha elimu nchini. Yakiwemo mavazi, majengo na hata vyakula vya shule kwa shule za pembezoni Zoezi litaendelea …

Flaviana Matata Foundation na PSPF Wakabidhi Vifaa vya Shule Mkoani Lindi

    Mwanamitondo afanyae kazi zake za mitindo nchini Marekani Flaviana Matata, yuko nchini kwa ajili ya kufanya kazi za kijamii kupitia taasisi yake ya Flaviana Matata Foundation. katika mradi wa Back to school project /FMFstationarykit ambao unafadhiliwa na mfuko wa penseni PSPF, Baada ya mwezi January Flaviana kugawa vifaa shule za msingi za jijini awamu hii ameenda Mtwara na …