Filamu ya Never Give Up Kupitia Mtandao

” And in her smile I see something more beautiful than the stars ” Fuatilia hii kupitia mtandao …….   Kwa Kuangalia Filamu hii ya Kitanzania iitwayo NEVER GIVE UP au Knunua na iwe yako kupitia mtandao.   Ili kuweza kuangalia au kununua kupitia Mtandao unachotakiwa kufanya ni kutembelea tovuti hii   http://www.proinpromotions.co.tz   Pia unaweza kuangalia au kununua filamu nyingine kupitia mtandao …

Filamu ya Mapenzi ya Mungu Kuingia Sokoni…!

Mwezi, Wiki na Sasa siku zimebaki kwa ile Filamu Mpya na ya Kusisimua ya MAPENZI YA MUNGU Kuingia Sokoni ambayo imewakutanisha wasanii mahiri wa hapa hapa Tanzania ambapo Mmoja kati ya Wasanii waliocheza filamu hiyo Ni Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya anayejulikana kama Linah Sanga, kwa Kushirikiana na Elizabeth Michael bila Kumsahau Flora Mtegoha ambae ni Mama Mzazi wa …