NYAMA ya Ulimi ni filamu matata yenye kiwango cha kimataifa kutoka kwa waigizaji waliobobea katika sanaa ya uigizaji mkoani Shinyanga na itazinduliwa hivi karibuni kwani kila kitu kimekamilika, angalia hapo chini nimeamua kukuonjesha walau kwa picha 8 na video fupi kukuweka mkao wa kula kupokea kazi nzuri ya wasanii kutoka Shinyanga. Filamu hii ya kiafrika pamoja na mambo mengine inazungumzia …
Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Akutana na Wasambazaji Kazi za Sanaa
Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu, Bi. Joyce Fissoo akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Wawakilishi wa Wasambazaji wa kazi za Sanaa nchini (hawapo pichani) waliotembelea kujua Urasimishaji wa kazi hizo katika ofisi ya Bodi hiyo 25 Julai, 2016 jijini Dar es Salaam. Afisa Utamaduni Bodi ya Filamu, Bw. Romanus Tairo akielezea jambo wakati wa mazungumzo na Wawakilishi wa …
Filamu ya Wema ni Akiba Kuingia Sokoni
Filamu ya Wema ni akiba yake mwanamama Jennifer Mgendi imekamilika. Akiongea na blogu hii Jennifer amesema filamu hiyo ambayo imewashirikisha wasanii na watumishi mbalimbali ni stori inayomhusu kijana Mawazo anayepambana na changamoto nyingi akijaribu kulipa deni la fadhila kwa Eli alizotendewa ujanani na baba yake Eli. Fuatana naye katika filamu hii ili kupata undani wa mkasa huu.
Wasambazaji Filamu Tanzania Waigomea Bodi ya Filamu, TRA…!
MJUMBE wa chama cha wasambazaji wa filamu Tanzania, Bw Saleh Abdallah akizungumzia kauli moja waliyokubaliana kama wasambazaji kuwa Kuanzia tarehe 1 Julai 2015 wao kama watayarishaji na wasambazaji wa kazi za filamu Tanzania wamesitisha swala la kupeleka filamu zao bodi ya filamu kwaajili ya kukaguliwa wala kununua stika za TRA mpaka pale mamlaka husika zitakapokaa chini na kujadiliana kuhusu swala …
TAFA Yaomba Ufadhili Tuzo za Filamu
Na Anitha Jonas – MAELEZO SHIRIKISHO la Filamu Tanzania laanda Tamasha la Tuzo za Filamu (TAFA) linalotarajia kufanyika Mwezi Mei 2015 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam lenye lengo la kuonyesha wachezaji filamu chipukizi wanaofanya vizuri katika tansia ya filamu nchini. Hayo yamesemwa na Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania Bw. Simon Mwakifwamba alipotembelewa ofisini kwake na …
Filamu ya I Love Mwanza…!
Mapenzi yanamfanya mtoto wa senetor Michael Nsonko kutoka Nairobi Kenya na kuja katika jiji la mwanza Tanzania. Alivutiwa sana na jiji hilo nakujiona ni mwenye bahati. Je kila kiang’aacho ni Dhahabu?. Fuatilia hii kupitia mtandao ……. Kwa Kuangalia Filamu hii ya Kitanzania mtandaoni iitwayo I LOVE MWANZA au Kununua na iwe yako tembelea tovuti ya http://www.proinpromotions.co.tz Pia unaweza …
- Page 1 of 2
- 1
- 2