SIKU ya Figo Duniani inalenga kuongeza uelewa juu ya umuhimu wa figo zetu, afya zetu kwa ujumla na kupunguza uwepo na matokeo ya magonjwa ya figo na vifo vinavyosababishwa na ugonjwa huo. Katika maadhimisho ya siku hii Dk. Kavita Parihar, mkuu wa “Nephrology” na idara ya upandikizaji figo katika Hospitali ya Apollo, Ahmedabad anawatahadharisha Watanzania juu ya dalili, hatari, matatizo, …
Biashara ya Figo Yashamiri Nchini Tanzania
KATIKA kile kinachoonekana kukithiri kwa hali ngumu ya maisha, baadhi ya Watanzania wameanza biashara ya kuuza figo zao kwa gharama kubwa kwa watu wenye mahitaji ya kiungo hicho muhimu mwilini. Uuzaji huo umetokana na ongezeko la maradhi ya figo miongoni mwa Watanzania kwani takwimu za Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii zinaeleza kuwa kuna wagonjwa 470,000 nchini ambao figo …