Msanii Diamond Matatani, Sare za JWTZ Zamponza…!

Na Mwandishi Wetu, MSANII nyota wa muziki wa bongo fleva, Nasib Abdul a.k.a Diamond Platinum ameingia katika mgogoro na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) baada ya kufanya ‘show’ yake ndani ya Tamasha la Fiesta jijini Dar es Salaam akiwa amevalia sare kama za jeshi hilo pamoja na wacheza ‘show’ wake. Uamuzi huo wa Diamond kuvaa sare kama za JWTZ unamuingiza …

Tamasha la Fiesta 2014 Mkoani Singida Lafana

 Baadhi ya mwashabiki wa Tamasha la Fiesta 2014 wakishangilia kwa hisia, wakati shoo ikiendelea jukwaani ndani uwanja wa Namfua mjini Singida.  Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka kampuni ya No Fake Zone, Lina Sanga ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake wa Oletemba, akiimba jukwaani mbele ya umati wa watu wakati wa tamasha la Fiesta lililofanyika jana katika uwanja …