‘Festula Yawatesa Akinamama 3,000 Tanzania Kila Mwaka’

Na Joachim Mushi, Dar es Salaam ZAIDI ya akinamama 3,000 nchini Tanzania huugua ugonjwa wa fistula mara baada ya kujifungua kila mwaka, huku sababu kubwa ya kupatwa na ugonjwa huo ikiwa ni huduma duni za afya ya uzazi hasa zile huduma za dharura kwa wajawazito wanapokuwa wakijifungua. Taarifa hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Mwakilishi wa Shirika la …