Polisi Dodoma Wazungumzia Mamilioni ya Fedha Kwenye Begi

JESHI la Polisi limetoa ufafanuzi kuhusiana na fedha alizokamatwa nazo mfanyabiashara na kuelezwa kwamba ni za Mkurugenzi Mtendaji Mkuu, Yusuf Manji anayemiliki kampuni ya Quality Group. Mitandao na vyombo vingine vya habari vilieleza kuwa fedha hizo zilitoka katika kampuni hiyo ya Manji ambaye ni Mwenyekiti wa Yanga na kupeleka Dodoma kuhusiana na suala la uchaguzi wa mgombea yupi ashinde ugombea …

Kamati ya Fedha na MipangoNchi Wanachama AU, ECA Wakutana Ethiopia

Na Mwandishi Wetu TANZANIA inashiriki mkutano wa nane wa Wataalamu wa Fedha, Uchumi na Mipango kwa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) na Kamisheni ya Uchumi ya Afrika (ECA) umeanza nchini Ethiopia kwa kuwakutanisha wataalamu mbalimbali wa masuala ya Fedha kutoka nchi wanachama wa Umoja wa Afrika. Mkutano huo wa watalaamu ni maandalizi ya Mkutano wa Mawaziri wa Fedha, …

Mama Kikwete Ataka Fedha za Mikopo Zitumike kwa Malengo

Na Anna Nkinda – Maelezo, Rufiji WANACHAMA wa vikundi vya kukopa na kuweka akiba wametakiwa kuwa na uthubutu na kujiwekea malengo ya maendeleo kutokana na fedha wanazokopa kwa kufanya hivyo wataweza kujikwamua kutoka maisha ya umaskini na kuongeza kipato cha familia. Rai hiyo imetolewa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati wa sherehe za kuadhimisha mwaka mmoja wa kuanzishwa kwa vikundi …