Ridhiwani Kikwete Akampeni Ubunge Kata ya Fukayose
Mgombea ubunge wa Jimbo la Chalinze Bw. Ridhiwani Kikwete akisalimiana na wananchi baada ya kuwasili katika ya Fukayose jimbo la Chalinze wakati alipoendelea na mikutano ya kampeni kunania kiti cha ubunge jimbo la Kani hilo, Ridhiwani Kikwete amewaomba wananchi wa kata ya Fukayose kumuamini na kumpa kura za ndiyo siku ya jumapili Aprili 6 na yeye atawalipa maendeleo na watapata …
Wakazi Mil. 20 EAC Wakabiliwa na Umasikini Sugu
Na Ronald Ndungi, EANA, Arusha JUMUIYA ya Afrika Mashariki (EAC) ina jumla ya wakazi zaidi ya milioni 20 wanaokabiliwa na umasikini sugu, watafiti wamebainisha mwishoni mwa wiki. Mkurugenzi wa Kanda wa Taasisi ya Maendeleo Afrika (DIA), Charles Ntale aliwaambia waandishi wa habari mjini Nairobi, Kenya kwamba kama hakutakuwa na sera za makusudi za kupambana na umasikini, takwimu hizo zitaongezeka …
Wanafunzi wa Kike CBE Waanzisha Mfuko Kumkomboa Mwanamke
Na Aron Msigwa – MAELEZO WANAFUNZI wanawake wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es Salaam (CBE) wamezindua mchakato wa kuanzisha mfuko wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kike wenye lengo la kumkomboa na kumwezesha mwanafunzi wa kike kujitambua, kielimu, kisiasa na kiutamaduni. Akizungumza na Jumuiya ya Wanafunzi wa Kike wa chuo hicho wakati kwenye uzinduzi wa mfuko huo leo jijini Dar es …
Rais Kikwete Aipinga Serikali Tatu Bungeni, Aainisha Mapungufu Yake…!
Na Joachim Mushi RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo mjini Dodoma amelihutubia Bunge Maalum la Katiba na kulizinduwa rasmi, huku akionekana wazi wazi kupinga mfumo wa Serikali tatu uliopendekezwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika rasimu yake iliyowasilishwa kwa wabunge. Akizungumza kwa hisia Rais Kikwete ameukosoa mfumo wa Serikali tatu kwa madai kuwa Serikali hiyo ya Tatu …