TANGAZO LA AJIRA JESHI LA POLISI – 2014/2015 Katika mwaka wa fedha 2014/2015 Jeshi la Polisi Tanzania linatarajia kuajiri wahitimu wa vyuo vya Elimu ya Juu wa mwaka 2013/2014. Ili kutekeleza azma hii waombaji watajaza kikamilifu na wataambatanisha vivuli vya vyeti vyao na kutuma Makao Makuu ya Polisi kwa njia ya Posta kabla ya tarehe 31.08.2014 kwa anuani ifuatayo: Inspekta …
Mama Kikwete Ataja Sababu za Vifo vya Wanawake…!
Na Anna Nkinda – Washington KUTOKUWA na uelewa wa kutosha kuhusu ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi, upungufu wa huduma za afya na vitendea kazi, utungaji wa sera zisizo rafiki pamoja na ukosefu wa takwimu za magonjwa ni moja ya sababu zinazosababisha wanawake wengi kupoteza maisha kutokana na ugonjwa huo. Hayo yamesemwa jana na Mke wa Rais Mama Salma …
Tanzania to Invest $1.2 Billion to Revamp State Power Utility
The Tanzanian government is planning to invest at least $1.2 billion to revamp its ailing state power utility, the East African nation’s latest effort to guarantee reliable power to domestic and industrial consumers, the energy and minerals ministry said Monday. The investment will enable East Africa’s second largest economy to reform its Tanzania Electricity Supply Co. to enable it to …
Tanzania Miss Out On Medals
TANZANIA bit the dust in the 2014 Commonwealth Games that reached climax yesterday in Glasgow, Scotland without a single athlete managing to secure a medal for the country. Cycling duo of Emmanuel Mollely and Richard Loning’o Laizer were Tanzania’s last medal hope, however, they followed the same path trodden by their teammates. Worse still, the two cyclists did not finish …
Rais Kikwete Ataja Sifa Pekee ya Uwekezaji Tanzania
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ameyataka makampuni na wafanyabiashara wa Marekani kuongeza uwekezaji wao katika Tanzania, akisema kuwa Tanzania inao uwezo wa kupokea zaidi ya mara 10 uwekezaji wa sasa wa makampuni ya Marekani katika Tanzania wa dola za Marekani bilioni 4.5. Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa Tanzania ina uwezo mkubwa zaidi wa kufanya biashara kubwa …