Uingereza Yaongoza Kiuwekezaji Tanzania

UINGEREZA inajivunia kuwa nchi inayoongoza katika uwekezaji nchini Tanzania na itaendelea kuisaidia Tanzania katika jitihada zake za kiuchumi na kuleta maendeleo. Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron amemuambia Rais Kikwete wakati wa mazungumzo yaliyofanyika 10 Downing Street, Machi 31, 2014, ambapo ndipo yalipo Makao Makuu ya Waziri Mkuu wa Uingereza. “Tunafurahia sana uhusiano wetu na kujivunia kuwa tunaongoza katika Uwekezaji …

Serikali Yatatua Kero ya Maji Kijijini Ngoyoni Rombo

Yohane Gervas, Rombo WAKAZI wa Kijiji cha Ngoyoni Kata ya Ngoyoni Tarafa ya Mengwe, Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro wameipongeza Serikali wilayani humo kwa kuwaondolea kero ya maji iliyodumu kwa muda mrefu iliyokuwa ikiwakabili. Neema hiyo imekuja baada ya Mkuu wa Wilaya hiyo kufungua rasmi kisima kikubwa cha maji katika Kijiji cha Ngoyoni Kata ya Ngoyoni Tarafa ya Mengwe. Diwani …

Mlipuko waua watu 6 katikati ya jiji la Nairobi.

Mlipuko katika eneo ambalo ni maarufu kwa watu wenye asili ya kisomali umeua watu 6 na wengine kadhaa wamejeruhiwa. Mlipuko huo umetokea siku ya Jumatatu, “the National Disaster Operations Centre” imeeleza. Hamna mtu au kikundi kilichojitokeza na kusema kimehusika na tukio hilo. Matukio kama haya yamekuwa yakihusishwa na kikundi cha Al Shabaab, kundi hili lilivamia watu waliokuwa katika “Shopping mall” …

Tanzania, Uganda may become new Russian military sale markets in Africa

Director of the Federal Service for Military-Technical Cooperation noted that new partners were mainly interested in helicopters “for shipments and fight against all modern threats” MOSCOW, March 31. /ITAR-TASS/. Russia hopes that Tanzania, Uganda and several other African countries may become new sale markets for Russian military produce, Director of the Federal Service for Military-Technical Cooperation Alexander Fomin told ITAR-TASS …

Wafanyakazi wa Wizara ya Viwanda Wapewa somo

WafanyakaziwaWizarayaViwandanaBiasharawametakiwakuongezajuhudinaubunifukatikautendajiwakaziilikuiwezeshaWizarahiyokufikiamalengoyakeiliyojiwekea. WitohuoumetolewanaWaziriwaViwandanaBiasharaMhe.DktAbdallahKigoda, wakatiakifunguaMkutanowaBaraza la WafanyakaziwaWizarahiyounaofanyikakwasikumbiliJijini Dar Es Salaam. Dkt. Kigodaamesema, WizarayaViwandanaBiasharainajukumukubwakatikakuboreshaUchumiwaNchihivyowafanyakazihawanabudikufanyakazikwabidiinaubunifuilikuiwezeshaWizarakupatamatokeoyaliyokusudiwa. “Fanyenikazikwabidii, kwamaarifanaubunifumkubwa. Epukeniuzembe, ukiritimbausionasababuzamsinginazaidiyayote, tujitangazeiliUmmaufahamukikamilifujitihadazetukatikakukuzauchumi’’. AwaliakimkaribishaMhWaziri, KatibuMkuuwaWizarahiyoBwUlediMussaamesema, UongoziwaWizarahiyoutaendeleakufanyajitihadazakuboreshamaslahiyawafanyakazi, mazingirayakufanyiakazinakuondoakerombalimbalimbalizinzowakwazawatumishi. Kwaupande wake MtoamadakatikaMkutanohuo Bi HonestaNgollykutokaambaeniAfisaElimuKazikutokaTumeyasUsuluhishinaUamuzi CMA, amewatakawatumishinaViongoziwaWizarakutimizawajibuwao, kuheshimusherianamiongozoyakaziilikuepushamigogorokatikasehemuzakazi.

Rais Kikwete Aanza Ziara Rasmi Uingereza

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amewasili mjini London, Uingereza, kwa ziara rasmi ya siku tatu ya kidola, moja ya ziara nadra sana kufanywa na viongozi wa nchi za nje nchini Uingereza. Rais Kikwete na ujumbe wake aliondoka nchini usiku wa Jumamosi, Machi 29, 2014, kuelekea London kwa ziara hiyo ya siku tatu ambako atakuwa Mgeni …