Maoni kuhusu Muungano v Shirikisho IWAPO Tanzania ni Shirikisho (Federation) au ni Muungano (Union) ni jambo ambalo limekuwa likuzua utata kwa miaka mingi. Hivi sasa katika vikao vya Kamati za Bunge maalumu la Katiba jambo hili limezua mjadala mkubwa ambapo baadhi ya Wajumbe wanapendekeza kuwa neno Shirikisho litoke kwenye sura ya kwanza ya Rasimu ya Katiba na wengine wakipendekeza libakie …
Takwimu Yafunga Mafunzo Uorodheshaji Viwanda…!
Na Veronica Kazimoto, Morogoro MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera ametoa wito kwa Wamiliki wa viwanda nchini kutoa ushirikiano kwa Wadadisi na Wasimamizi wa Zoezi la Uorodheshaji wa Viwanda kwa ajili ya maandalizi ya Sensa ya Viwanda inayotarajia kufanyika mwezi Septemba, 2014. Akiwahutubia Wasimamizi na Wadadisi wakati wa kufunga mafunzo ya zoezi hilo mkoani Morogoro, Bendera amesema ni muhimu …
Tanzania Not Happy With UK Visa Processing
Dar es Salaam — Tanzania’s traders, policy makers and politicians have expressed their concern with regard to UK Visa being processed in Kenya. Tanzanians and other East Africans wishing to travel to the UK will now have their visa applications processed in Nairobi as part of an overhaul of visa-issuing procedures worldwide. Under the new rules applicants will need to …
Will Another Anti-Gay Law Come to Tanzania?
Although Tanzania already has an anti-gay law that sentences those found guilty of homosexuality activity to 20 years to life in prison, a member of the East Africa country’s parliament is drafting a new bill that would go further, Gay Star News reports. Ezekiel Wenje of the main opposition party Chama Cha Democrasia na Maendeleo, says homosexuality is increasing in …
Tanzania Yapokea Bilion za Misaada Kutoka Serikali ya Japan
Na Eleuteri Mangi – MAELEZO SERIKALI ya Tanzania imepokea msaada wa zaidi ya sh. bilioni sita (6) za Kitanzania ambazo ni sawa na Yen milioni 380 zilizotolewa na Serikali ya Japan kupitia Shirika lake la Kimataifa la Misaada (JAICA). Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dk. Servacius Likwelile wakati wa hafla ya kusaini …