Na Mwandishi Wetu KAMPUNI tatu kubwa zilizopo chini ya MeTL Group hivi karibuni zimefanikiwa kutwaa tuzo za Rais za Watengenezaji Bidhaa kwa mwaka 2013, zinazosimamiwa na Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI). Makampuni hayo ni: East Coast Oils & Fats Ltd ya Kurasini ambayo hutengeneza sabuni na mafuta ya kupikia pamoja na bidhaa nyingine. Afritex Limited ambayo hutengeneza Khanga, Vitenge na …
Kiongozi Hapaswi Kutegemea Serikali Pekee Kufanya Shughuli za Maendeleo – Jerry Silaa
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, ambaye pia ni Diwani wa kata ya Gongo la Mboto Jerry Silaa akiwasili kwenye shule ya sekondari Pugu kwa ajili ya kukabidhi madawati 300 kwa shule tatu zilizopo manispaa ya Ilala na kulakiwa na Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo Jovinus Mutabuzi.(Picha zote na Zainul Mzige). *Ni katika Mpango wa “Mayor’s Ball” “Dawati ni …
Tanzania: European, U.S. Billionaires Tour, Hail Serengeti
Tanzania: European, U.S. Billionaires Tour, Hail Serengeti Arusha — NEARLY 100 top billionaires from Europe and the United States have completed their Tanzanian leg of African tour, describing the country’s second largest national park, Serengeti, as exemplary. The second of the two groups of foreign tycoons, brought here through the Abercrombie & Kent Safari Company, were seen off at the …
UK couple forced off Tanzanian farm faults Cameron trade talks with the country’s president
Kent couple lose tens of thousands of pounds after Tanzanian businessman’s “corrupt campaign” to take back their 500-acre farm A British couple chased off their farm in Tanzania by powerful local businessmen has criticised David Cameron’s warm reception of the East African country’s president in London this week. Jakaya Kikwete met the Prime Minister for a series of meetings at …
JK Awasili Brussels, Ubelgiji…!
RAIS Jakaya Mrisho Kikwete amewasili Brussels, Ubelgiji leo asubuhi 2 Aprili, 2014 kuhudhuria kikao cha siku mbili cha Wakuu wa Nchi wa nchi za Afrika na za Umoja wa Ulaya (EU-Africa Summit). Kikao hiki cha siku 2 kitatoa nafasi kwa viongozi hawa kutathmini mafanikio ya uhusiano wao na kutafuta njia zingine mpya za kuboresha mahusiano hayo. Kauli mbiu ya mkutano …
Watanzania Waliolipuliwa na Osama Kulipwa Bilioni 672
WATANZANIA wanne waliojeruhiwa katika mlipuko wa bomu katika ubalozi wa Marekani mwaka 1998 na wengine watano waliofariki dunia katika mlipuko huo watalipwa fidia ya Sh672 bilioni, kiwango ambacho ni sawa na bajeti ya wizara nne za Tanzania. Watanzania hao waliuawa na wengine kujeruhiwa katika moja ya mashambulizi pacha yaliyotokea kwa wakati mmoja jijini Dar es salaam na Nairobi, Kenya na …