Mkurugenzi Idara ya Habari Aviasa Vyombo vya Habari Ofisi za Jamhuri Dar

Na Aron Msigwa – MAELEZO, Dar es Salaam VYOMBO vya habari nchini vimeshauriwa kutoa kipaumbele kwa habari zinazojenga jamii kwa kuihamasisha kushiriki katika miradi mbalimbali ya maendeleo, kudumisha uzalendo na kuepuka habari zinazoweza kusababisha mgawanyiko na chuki katika jamii. Wito huo umetolewa leo jijini Dar es Salaam na Msemaji wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Bw. Assah Mwambene …

Tanzania receives $559 million in budget support

The General Budget Support (GBS) group has pledged $559 million (911 billion shillings) in general budget support to the Tanzanian government for the 2014-2015 fiscal year, Tanzania’s The Citizen reported Saturday (April 5th). The funding is $9.2 million (15 billion shillings) more than was pledged for the current fiscal year. “Tanzania continues to receive one of the highest levels of …

Chadema Waupinga Ushindi wa Ridhiwani Kikwete Jimbo la Bagamoyo

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetoa tamko la awali la kupinga ushindi wa uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Chalinze, ambao ulimpa ushindi mgombea wa CCM, Ridhiwani Kikwete kwa madai kuwa ulijitokeza ukiukwaji mkubwa wa taratibu, kanuni na sheria zinazosimamia uchaguzi, zilizofanyika kwenye mchakato huo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Operesheni ya Uchaguzi Mdogo Chalinze wa …

Matumaini Katiba Mpya Arijojo…!

IKULU imeeleza kuwa imeshindwa kutimiza ahadi yake kwa taifa ya kulipatia Katiba Mpya ifikapo Aprili 26, 2014. Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue alilieleza gazeti hili kuwa kwa hali ya mchakato huo ilivyo sasa, wameshindwa kufikia lengo hilo, lakini hawajakata tamaa kuhusu kupatikana Katiba Mpya ndani ya mwaka huu. “Kweli matarajio ya awali yalikuwa hayo, lakini kama unavyoona hali …

Mkuranga na Ukombozi Kiuchumi Toka MKURABITA

*‘Hatimiliki za ardhi ni pasipoti kuelekea uchumi rasmi’         *Benki zatakiwa kuzitambua kwa mikopo   “Tumieni hati kutafuta mikopo yenye thamani kubwa ili iwaletee maendeleo sio kutumia hati yenye thamani kubwa kama hii, kupata mkopo wa kufuga kuku kumi. Kama ni ufugaji, fanyeni ufugaji wa kisasa wenye tija.”   Anaasa Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Mercy Silla katika hotuba yake kabla …